Daniel 8:2 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika maono haya, nilijikuta niko Susa, mji mkuu wa mkoa wa Elamu. Nilikuwa nimesimama kando ya mto Ulai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika maono yangu, nilijiona nikiwa ndani ya ngome ya Shushani katika jimbo la Elamu; katika maono nilikuwa kando ya Mto Ulai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami naliona katika maono; ilitukia, nilipoona, nalikuwako huko Shushani ngomeni, katika wilaya ya Elamu; nikaona katika maono, nami nalikuwa karibu na mto Ulai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika maono haya, nilijikuta niko Susa, mji mkuu wa mkoa wa Elamu. Nilikuwa nimesimama kando ya mto Ulai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika maono yangu mimi nilijiona nikiwa ndani ya ngome ya Shushani katika jimbo la Elamu, katika maono nilikuwa kando ya Mto Ulai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika maono yangu, nilijiona nikiwa ndani ya ngome ya Shushani katika jimbo la Elamu. Katika maono nilikuwa kando ya Mto Ulai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yako, niliyoyaona katika hiyo ndoto; napo hapo, nilipoyaona, nilikuwa katika mji wa kifalme wa Susani ulioko katika jimbo la Elamu. Nami nilipoyaona katika hiyo ndoto nilikuwa kwenye mto wa Ulai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami naliona katika maono; ilitukia, nilipoona, nalikuwako huko Shushani ngomeni, katika wilaya ya Elamu; nikaona katika maono, nami nalikuwa karibu na mto Ulai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika maono haya, nilijikuta niko Susani, muji mukubwa wa jimbo la Elamu. Nilikuwa nimesimama kando ya muto Ulayi.