Daniel 8:20 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kondoo dume mwenye pembe mbili ambaye ulimwona anawakilisha wafalme wa Umedi na Uajemi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule kondoo mume uliyemwona, mwenye pembe mbili, hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kondoo dume mwenye pembe mbili ambaye ulimwona anawakilisha wafalme wa Umedi na Uajemi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kondoo dume mwenye pembe mbili ambaye ulimwona anawakilisha wafalme wa Umedi na Uajemi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dume la kondoo, uliyemwona mwenye pembe mbili, ndio wafalme wa Wamedi na wa Wapersia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule kondoo mume uliyemwona, mwenye pembe mbili, hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia.