Daniel 8:21 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule beberu ni mfalme wa Ugiriki. Ile pembe kubwa katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule beberu mwenye manyoya mengi ni mfalme wa Uyunani, nayo ile pembe ndefu katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule beberu, mwenye manyoya mengi, ni mfalme wa Uyunani; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule beberu ni mfalme wa Ugiriki. Ile pembe kubwa katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule beberu mwenye nywele nyingi ni mfalme wa Uyunani, nayo ile pembe ndefu katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule beberu mwenye nywele nyingi ni mfalme wa Uyunani, nayo ile pembe ndefu katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye dume la mbuzi mwenye manyoya mengi ni mfalme wa Wagriki, nayo ile pembe kubwa iliyokuwa katikati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule beberu, mwenye manyoya mengi, ni mfalme wa Uyunani; na ile pembe kubwa iliyo kati ya macho yake ni mfalme wa kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule beberu ni mufalme wa Ugriki. Ile pembe kubwa katikati ya macho yake ni mufalme wa kwanza.