Daniel 8:23 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati falme hizo zitakapofikia kikomo chake na uovu wao kufikia kilele chake, patatokea mfalme mmoja shupavu na mwerevu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika sehemu ya mwisho ya utawala wao, waasi watakapokuwa waovu kabisa, atainuka mfalme mwenye uso mkali, aliye stadi wa hila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakati wa mwisho wa ufalme wao, wakosao watakapotimia, mfalme mwenye uso mkali, afahamuye mafumbo, atasimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati falme hizo zitakapofikia kikomo chake na uovu wao kufikia kilele chake, patatokea mfalme mmoja shupavu na mwerevu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika sehemu ya mwisho ya utawala wao, wakati waasi watakapokuwa waovu kabisa, atainuka mfalme mwenye uso mkali na stadi wa hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika sehemu ya mwisho ya utawala wao, wakati waasi watakapokuwa waovu kabisa, atainuka mfalme mwenye uso mkali, aliye stadi wa hila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye mwisho wa ufalme wao, wapotovu watakapoyatimiza mapotovu yao, patainuka mfalme mwenye uso mkali atambuaye mizungu mibaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakati wa mwisho wa ufalme wao, wakosao watakapotimia, mfalme mwenye uso mkali, afahamuye mafumbo, atasimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati falme hizo zitakapofikia kwa mwisho wao na uovu wao kufikia kilele chake, kutatokea mufalme mumoja mutesaji na mwerevu.