Daniel 8:5 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nilipokuwa ninawaza juu ya jambo hili, niliona beberu mmoja kutoka upande wa magharibi akija kasi bila kugusa ardhi. Kati ya macho yake alikuwa na pembe moja kubwa sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilipokuwa ninatafakari hili, ghafula beberu mwenye pembe moja kubwa katikati ya macho yake alikuja kutoka magharibi, akiruka kasi juu ya dunia yote bila kugusa ardhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nilipokuwa nikifikiri, tazama, beberu akatoka upande wa magharibi, juu ya uso wa dunia nzima, bila kuigusa nchi; na beberu yule alikuwa na pembe mashuhuri kati ya macho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nilipokuwa ninawaza juu ya jambo hili, niliona beberu mmoja kutoka upande wa magharibi akija kasi bila kugusa ardhi. Kati ya macho yake alikuwa na pembe moja kubwa sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilipokuwa ninatafakari hili, ghafula beberu mwenye pembe moja kubwa sana katikati ya macho yake alikuja kutoka magharibi, akiruka kasi juu ya dunia yote bila kugusa ardhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilipokuwa ninatafakari hili, ghafula beberu mwenye pembe moja kubwa sana katikati ya macho yake alikuja kutoka magharibi, akiruka kasi juu ya dunia yote bila kugusa ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipokuwa sijamtambua vema, mara nikaona dume la mbuzi aliyetoka machweoni kwa jua, akapita juu ya nchi yote nzima pasipo kugusa mchanga wa chini kwa miguu; huyo dume la mbuzi alikuwa na pembe kubwa mno katikati ya macho yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nilipokuwa nikifikiri, tazama, beberu akatoka upande wa magharibi, juu ya uso wa dunia nzima, bila kuigusa nchi; na beberu yule alikuwa na pembe mashuhuri kati ya macho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipokuwa ninawaza juu ya jambo hili, niliona beberu mumoja kutoka upande wa magaribi akikuja mbio bila kugusa chini. Kati ya macho yake alikuwa na pembe moja kubwa sana.