Daniel 8:6 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimwendea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akiwa amesimama kando ya mto, akamshambulia kwa nguvu zake zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuja akimwelekea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akisimama kando ya mto, akamshambulia kwa hasira nyingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamwendea huyo kondoo mume mwenye pembe mbili, niliyemwona akisimama karibu na mto, akamshambulia kwa ghadhabu za nguvu zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimwendea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akiwa amesimama kando ya mto, akamshambulia kwa nguvu zake zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuja akimwelekea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akisimama kando ya mto na kumshambulia kwa hasira nyingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuja akimwelekea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akisimama kando ya mto, akamshambulia kwa hasira nyingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamjia yule dume la kondoo, mwenye pembe mbili, niliyemwona, akisimama penye mto, akamkimbilia kwa makali ya nguvu zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamwendea huyo kondoo mume mwenye pembe mbili, niliyemwona akisimama karibu na mto, akamshambulia kwa ghadhabu za nguvu zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimwendea yule kondoo dume mwenye pembe mbili niliyemwona akiwa amesimama kando ya muto, akamushambulia kwa nguvu zake zote.