Daniel 9:1 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Katika mwaka Dario mwana wa Ahasuero, Mmedi, alipoanza kutawala juu ya milki ya Wakaldayo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario mwana wa Ahasuero (mzaliwa wa Umedi), ambaye alifanywa mtawala wa ufalme wa Babeli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa kwanza wa Dario, mwana wa Ahasuero, wa uzao wa Wamedi, aliyetawazwa kuwa mfalme juu ya milki ya Wakaldayo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Katika mwaka Dario mwana wa Ahasuero, Mmedi, alipoanza kutawala juu ya milki ya Wakaldayo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake Dario mwana wa Ahusuero (mzaliwa wa Umedi) ambaye alifanywa mtawala juu ya ufalme wa Babeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario mwana wa Ahasuero (mzaliwa wa Umedi), ambaye alifanywa mtawala juu ya ufalme wa Babeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa kwanza wa Dario, mwana wa Ahaswerosi, aliyekuwa wa kizazi cha Wamedi, aliyepata kuwa mfalme wa ufalme wa Wakasidi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa kwanza wa Dario, mwana wa Ahasuero, wa uzao wa Wamedi, aliyetawazwa kuwa mfalme juu ya milki ya Wakaldayo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka Dario mufalme wa Wamedi mwana wa Ahasuero, alipoanza kutawala juu ya ufalme wa Wakaldea,