Daniel 9:3 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, kwa moyo, nikimtolea dua pamoja na kufunga, nikavaa vazi la gunia na kuketi kwenye majivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo nikamgeukia Mwenyezi Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, na kuvaa gunia na kujipaka majivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikamwelekezea Bwana Mungu uso wangu, ili kutaka kwa maombi, na dua, pamoja na kufunga, na kuvaa nguo za magunia na majivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, kwa moyo, nikimtolea dua pamoja na kufunga, nikavaa vazi la gunia na kuketi kwenye majivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo nikamgeukia BWANA Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, kuvaa nguo ya gunia na kujipaka majivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo nikamgeukia bwana Mwenyezi Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, na kuvaa nguo ya gunia na kujipaka majivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipouelekeza uso wangu kwake Bwana Mungu, nipate kumwomba na kumlalamikia nikifunga mfungo na kuvaa gunia na kukaa majivuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikamwelekezea Bwana Mungu uso wangu, ili kutaka kwa maombi, na dua, pamoja na kufunga, na kuvaa nguo za magunia na majivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilimwomba Yawe, kwa moyo, nikimutolea maombi pamoja na kufunga kula chakula, nikavaa gunia na kuikaa kwenye majivu.