Daniel 9:5 — Compare Translations
9 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumetenda dhambi, tumekosa, tumetenda maovu na kukuasi. Tumezikiuka amri zako na kanuni zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
tumetenda dhambi na kufanya mabaya. Tumekuwa waovu na tumeasi; tumegeuka mbali na maagizo yako na sheria zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tumefanya dhambi, tumefanya ukaidi, tumetenda maovu, tumeasi, naam, hata kwa kuyaacha maagizo yako na hukumu zako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumetenda dhambi, tumekosa, tumetenda maovu na kukuasi. Tumezikiuka amri zako na kanuni zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tumetenda dhambi na kufanya mabaya. Tumekuwa waovu na tumeasi, tumegeuka mbali na maagizo yako na sheria zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tumetenda dhambi na kufanya mabaya. Tumekuwa waovu na tumeasi; tumegeuka mbali na maagizo yako na sheria zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tumekosa na kukora manza, tukaacha kukucha na kukutii, tukaondoka kwenye maagizo yako na maongoi yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tumefanya dhambi, tumefanya ukaidi, tumetenda maovu, tumeasi, naam, hata kwa kuyaacha maagizo yako na hukumu zako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumetenda zambi, tumekosa, tumetenda maovu na kukuasi. Tumevunja amri zako na maagizo yako.