Daniel 9:6 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako waliongea na wafalme wetu, wakuu wetu, wazee wetu na taifa letu lote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakuu wetu, baba zetu, na watu wote wa nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hatukuwasikiliza watumishi wako, manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, na watu wote wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako waliongea na wafalme wetu, wakuu wetu, wazee wetu na taifa letu lote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakuu wetu, baba zetu na watu wote wa nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakuu wetu, baba zetu, na watu wote wa nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatukuwasikia watumishi wako wafumbuaji waliosema kwa Jina lako kwa wafalme wetu na kwa wakuu wetu na kwa baba zetu na kwa watu wa ukoo wote wa nchi hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hatukuwasikiliza watumishi wako, manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, na watu wote wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakubwa wetu, babu zetu na taifa letu lote.