Daniel 9:8 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aibu, ee Bwana, ni juu yetu, wafalme wetu, wakuu wetu na wazee wetu, kwa sababu tumekukosea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, sisi na wafalme wetu, wakuu wetu na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, kwetu sisi kuna haya ya uso, kwa wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, kwa sababu tumekutenda dhambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aibu, ee Bwana, ni juu yetu, wafalme wetu, wakuu wetu na wazee wetu, kwa sababu tumekukosea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, sisi na wafalme wetu, wakuu wetu na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, sisi na wafalme wetu, wakuu wetu na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, nyuso zinatuiva kwa soni sisi na wafalme wetu na wakuu wetu na baba zetu, kwa kuwa tumekukosea wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, kwetu sisi kuna haya ya uso, kwa wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, kwa sababu tumekutenda dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, sisi tumefezeheka, wafalme wetu, wakubwa wetu na babu zetu, kwa sababu tumekutendea zambi.