Deuteronomy 1:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi peke yangu nitawezaje kuchukua jukumu hilo zito la kusuluhisha ugomvi wenu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi nitawezaje kubeba matatizo yenu, na mizigo yenu, na magomvi yenu peke yangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitachukuaje peke yangu mimi mwenyewe udhia wenu, na mzigo wenu, na mateto yenu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi peke yangu nitawezaje kuchukua jukumu hilo zito la kusuluhisha ugomvi wenu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi nitawezaje kubeba matatizo yenu, na mizigo yenu, na magomvi yenu peke yangu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi nitawezaje kubeba matatizo yenu, na mizigo yenu, na magomvi yenu peke yangu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitachukuaje peke yangu mimi mwenyewe udhia wenu, na mzigo wenu, na ugomvi wenu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi peke yangu nitawezaje kuchukua jukumu hilo zito la kusuluhisha ugomvi wenu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nitawezaje peke yangu kuuchukua huo mzigo wenu mzito sana wa magomvi yenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitachukuaje peke yangu mimi mwenyewe udhia wenu, na mzigo wenu, na mateto yenu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi peke yangu nitaweza namna gani kubeba muzigo wa kuamua matatizo yenu, mashitaki yenu na magomvi yenu?