Deuteronomy 1:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chagueni kutoka katika kila kabila watu wenye hekima, busara na ujuzi ili niwateue wawe viongozi wenu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chagueni baadhi ya watu wenye hekima, wenye ufahamu na wanaoheshimika kutoka kila kabila lenu, nami nitawaweka juu yenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jitwalieni watu wenye akili na fahamu, watu wanaojulikana, kwa kadiri ya kabila zenu, nami nitawafanya wawe vichwa juu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chagueni kutoka katika kila kabila watu wenye hekima, busara na ujuzi ili niwateue wawe viongozi wenu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chagueni baadhi ya watu wenye hekima, wenye ufahamu na wanaoheshimika kutoka katika kila kabila lenu, nami nitawaweka juu yenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chagueni baadhi ya watu wenye hekima, wenye ufahamu na wanaoheshimika kutoka kila kabila lenu, nami nitawaweka juu yenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jitwalieni watu wenye akili na fahamu, watu wanaojulikana, kwa kadiri ya makabila yenu, nami nitawafanya wawe vichwa juu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chagueni kutoka katika kila kabila watu wenye hekima, busara na ujuzi ili niwateue wawe viongozi wenu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo toeni kwenu watu werevu wa kweli walio watambuzi wanaojulikana katika mashina yenu, niwaweke kuwa vichwa vyenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jitwalieni watu wenye akili na fahamu, watu wanaojulikana, kwa kadiri ya kabila zenu, nami nitawafanya wawe vichwa juu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchague kutoka katika kila kabila watu wenye hekima, akili na ujuzi kusudi niwafanye wakuwe viongozi wenu.’