Deuteronomy 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mlikubali, mkanijibu hivi: ‘Jambo ulilosema ni la busara’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlinijibu, “Shauri ulilolitoa ni zuri.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mkanijibu, mkaniambia, Jambo ulilonena ni jema la kufanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mlikubali, mkanijibu hivi: ‘Jambo ulilosema ni la busara’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlinijibu, “Shauri ulilolitoa ni zuri.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlinijibu, “Shauri ulilolitoa ni zuri.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mkanijibu, mkaniambia, Jambo ulilolisema ni jema la kufanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mlikubali, mkanijibu hivi: ‘Jambo ulilosema ni la busara’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mkanijibu kwamba: Neno hili, ulilolisema, linafaa kulifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mkanijibu, mkaniambia, Jambo ulilonena ni jema la kufanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mulikubali, mukanijibu hivi: ‘Jambo ulilosema ni jema kwetu kufanya’.