Deuteronomy 1:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huohuo, niliwaagizeni mambo yote mnayopaswa kufanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami wakati ule niliwaambia kila kitu ambacho mngefanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikawaamuru wakati huo mambo yote yaliyowapasa ninyi kuyafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huohuo, niliwaagizeni mambo yote mnayopaswa kufanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami wakati ule niliwaambia kila kitu ambacho mngefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami wakati ule niliwaambia kila kitu ambacho mngefanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikawaamuru wakati huo mambo yote yaliyowapasa ninyi kuyafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huohuo, niliwaagizeni mambo yote mnayopaswa kufanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, nilivyowaagiza siku zile mambo yote yaliyowapasa kuyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikawaamuru wakati huo mambo yote yaliyowapasa ninyi kuyafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huohuo, nikawaagiza mambo yote munayopaswa kufanya.