Deuteronomy 1:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka mlima Horebu hadi Kadesh-barnea kwa njia ya mlima Seiri.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka Horebu kwa njia ya Mlima Seiri hadi Kadesh-Barnea.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka Horebu kwa njia ya mlima wa Seiri mpaka Kadesh-barnea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka mlima Horebu hadi Kadesh-barnea kwa njia ya mlima Seiri.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka Horebu kwa njia ya Mlima Seiri mpaka Kadesh-Barnea.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka Horebu kwa njia ya Mlima Seiri mpaka Kadesh-Barnea.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka Horebu kwa njia ya mlima wa Seiri mpaka Kadesh-barnea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka mlima Horebu hadi Kadesh-barnea kwa njia ya mlima Seiri.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kutoka Horebu ulikuwa mwendo wa siku kumi na moja kwa kushika njia ya kwenda mlimani kwa Seiri mpaka Kadesi-Barnea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka Horebu kwa njia ya mlima wa Seiri mpaka Kadesh-barnea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Ni mwendo wa siku kumi na moja kutoka mulima Horebu mpaka Kadesi-Barnea kwa njia ya mulima Seiri.)