Deuteronomy 1:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mimi niliwaambieni: ‘Sasa mmefika katika nchi ya milima ya Waamori ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametupatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha niliwaambia, “Mmefika katika nchi ya vilima ya Waamori, ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, anatupatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikawaambia, Mmefika nchi ya vilima ya Waamori, anayotupa sisi Bwana, Mungu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mimi niliwaambieni: ‘Sasa mmefika katika nchi ya milima ya Waamori ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametupatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha niliwaambia, “Mmefika katika nchi ya vilima ya Waamori, ambayo BWANA Mungu wetu anatupa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha niliwaambia, “Mmefika katika nchi ya vilima ya Waamori, ambayo bwana Mwenyezi Mungu wetu anatupa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikawaambia, Mmefika nchi ya vilima ya Waamori, anayotupa sisi BWANA, Mungu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mimi niliwaambieni: ‘Sasa mmefika katika nchi ya milima ya Waamori ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametupatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipowaambia: Mmefika milimani kwa Waamori, ndiyo nchi, Bwana Mungu wetu anayotaka kutupa sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikawaambia, Mmefika nchi ya vilima ya Waamori, anayotupa sisi BWANA, Mungu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mimi nikawaambia: ‘Sasa mumefika katika inchi ya milima ya Waamori ambayo Yawe, Mungu wetu, ametupatia.