Deuteronomy 1:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazameni, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ameiweka nchi hii mbele yenu. Haya! Ingieni, mkaimiliki kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wenu alivyowaambia. Msiogope wala msifadhaike!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, amewapa nchi. Pandeni mkaimiliki kama Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zenu, alivyowaambia. Msiogope, wala msikate tamaa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Bwana, Mungu wako, ameiweka nchi mbele yako; haya panda, itamalaki, kama Bwana, Mungu wa baba zako, alivyokuambia; usiogope wala usifadhaike.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazameni, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ameiweka nchi hii mbele yenu. Haya! Ingieni, mkaimiliki kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wenu alivyowaambia. Msiogope wala msifadhaike!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, BWANA Mungu wenu amewapa nchi. Pandeni mkaimiliki kama BWANA, Mungu wa baba zenu, alivyowaambia. Msiogope, wala msikate tamaa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, bwana Mwenyezi Mungu wenu amewapa nchi. Pandeni mkaimiliki kama bwana, Mungu wa baba zenu, alivyowaambia. Msiogope, wala msikate tamaa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, BWANA, Mungu wako, ameiweka nchi mbele yako; haya panda, itamalaki, kama BWANA, Mungu wa baba zako, alivyokuambia; usiogope wala usifadhaike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazameni, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ameiweka nchi hii mbele yenu. Haya! Ingieni, mkaimiliki kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wenu alivyowaambia. Msiogope wala msifadhaike!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, Bwana Mungu wetu ameiweka nchi hii machoni penu. Pandeni tu kuichukua, iwe yenu, kama Bwana Mungu wa baba zenu alivyosema! Msiogope, wala msiingiwe na vituko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, BWANA, Mungu wako, ameiweka nchi mbele yako; haya panda, itamalaki, kama BWANA, Mungu wa baba zako, alivyokuambia; usiogope wala usifadhaike.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muangalie, Yawe, Mungu wenu, ameiweka inchi hii mbele yenu. Basi! Muende, muirizi kama vile Yawe, Mungu wa wazee wenu alivyowaambia. Musiogope wala musifazaike!’