Deuteronomy 1:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha nyote mlikuja karibu nami mkaniambia, ‘Tutume watu watutangulie, waipeleleze nchi, halafu warudi kutujulisha njia bora ya kufuata na miji ipi tutaikuta huko.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo ninyi nyote mkanijia na kusema, “Tupeleke watu watutangulie kuipeleleza nchi kwa ajili yetu, na kutuletea taarifa kuhusu njia tutakayopita, na miji tutakayoiendea.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mkanikaribia kila mmoja wenu, mkasema, Na tupeleke watu mbele yetu, ili watupelelezee nchi na kutuletea habari za njia itupasayo kuipandia, na za miji tutakayoifikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha nyote mlikuja karibu nami mkaniambia, ‘Tutume watu watutangulie, waipeleleze nchi, halafu warudi kutujulisha njia bora ya kufuata na miji ipi tutaikuta huko.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo ninyi nyote mkanijia na kusema, “Tupeleke watu watutangulie kuipeleleza nchi kwa ajili yetu, na kutuletea taarifa kuhusu njia tutakayopita, na miji tutakayoiendea.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo ninyi nyote mkanijia na kusema, “Tupeleke watu watutangulie kuipeleleza nchi kwa ajili yetu, na kutuletea taarifa kuhusu njia tutakayopita, na miji tutakayoiendea.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mkanikaribia kila mmoja wenu, mkasema, Na tutume watu mbele yetu, ili watupelelezee nchi na kutuletea habari za njia itupasayo kuipandia, na za miji tutakayoifikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha nyote mlikuja karibu nami mkaniambia, ‘Tutume watu watutangulie, waipeleleze nchi, halafu warudi kutujulisha njia bora ya kufuata na miji ipi tutaikuta huko.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, ninyi nyote mlipokuja kwangu, mkaniambia: Na tutume watu kwenda mbele yetu, watupelelezee nchi hii, kisha watuletee habari za njia, tutakazozishika za kupandia huko, na habari za miji, tutakayoiingia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mkanikaribia kila mmoja wenu, mkasema, Na tupeleke watu mbele yetu, ili watupelelezee nchi na kutuletea habari za njia itupasayo kuipandia, na za miji tutakayoifikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kisha wote mukakuja karibu nami mukaniambia: ‘Tutume watu watutangulie, wapeleleze inchi, halafu warudi kutujulisha njia bora ya kufuata na miji gani tutakuta huko.’