Deuteronomy 1:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo hilo lilionekana kuwa jema kwangu, nikawateua watu kumi na wawili, mtu mmoja kutoka katika kila kabila.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazo hilo lilionekana zuri kwangu; kwa hiyo niliwachagua watu wenu kumi na wawili, mwanaume mmoja kutoka kila kabila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili likanipendeza sana; nikatwaa watu kumi na wawili, mtu mmoja wa kila kabila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo hilo lilionekana kuwa jema kwangu, nikawateua watu kumi na wawili, mtu mmoja kutoka katika kila kabila.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazo hilo lilionekana zuri kwangu; kwa hiyo niliwachagua watu wenu kumi na wawili, mwanaume mmoja kutoka kila kabila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazo hilo lilionekana zuri kwangu; kwa hiyo niliwachagua watu wenu kumi na wawili, mwanaume mmoja kutoka kila kabila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili likanipendeza sana; nikatwaa watu kumi na wawili, mtu mmoja kutoka kila kabila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jambo hilo lilionekana kuwa jema kwangu, nikawateua watu kumi na wawili, mtu mmoja kutoka katika kila kabila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa neno hili lilikuwa jema machoni pangu, nikachagua kwenu watu kumi na wawili, kwa kila shina mtu mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili likanipendeza sana; nikatwaa watu kumi na wawili, mtu mmoja wa kila kabila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hilo likaonekana kuwa zuri kwangu, nikawachagua watu kumi na wawili, mutu mumoja kutoka katika kila kabila.