Deuteronomy 1:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hao walikwenda katika nchi ile ya milima, wakafika kwenye bonde la Eshkoli na kulipeleleza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliondoka na kukwea katika nchi ya vilima, wakafika katika Bonde la Eshkoli na kuipeleleza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakageuka, wakapanda mlimani wakafika bonde la Eshkoli, wakalipeleleza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hao walikwenda katika nchi ile ya milima, wakafika kwenye bonde la Eshkoli na kulipeleleza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliondoka na kukwea katika nchi ya vilima, wakafika katika Bonde la Eshkoli na kuipeleleza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliondoka na kukwea katika nchi ya vilima, wakafika katika Bonde la Eshkoli na kuipeleleza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakageuka, wakapanda mlimani wakafika katika bonde la Eshkoli, wakalipeleleza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hao walikwenda katika nchi ile ya milima, wakafika kwenye bonde la Eshkoli na kulipeleleza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wakajielekeza kupanda milimani, wakafika mpaka kijitoni kwa Eskoli wakiipeleleza nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakageuka, wakapanda mlimani wakafika bonde la Eshkoli, wakalipeleleza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao wakakwenda katika inchi ile ya milima, wakafika kwenye bonde la Eskoli na kulipeleleza.