Deuteronomy 1:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini nyinyi hamkufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kukataa kwenda katika nchi hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hamkuwa tayari kukwea, mkaasi dhidi ya amri ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hamkukubali kukwea huko, mlihalifu neno la Bwana, Mungu wenu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini nyinyi hamkufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kukataa kwenda katika nchi hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hamkuwa tayari kukwea, mkaasi dhidi ya amri ya BWANA Mungu wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hamkuwa tayari kukwea, mkaasi dhidi ya amri ya bwana Mwenyezi Mungu wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hamkukubali kukwea huko, mliasi neno la BWANA, Mungu wenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini nyinyi hamkufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kukataa kwenda katika nchi hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hamkutaka kupanda, mkalikataa agizo la Bwana Mungu wenu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hamkukubali kukwea huko, mlihalifu neno la BWANA, Mungu wenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini ninyi hamukufuata agizo la Yawe, Mungu wenu; mulikataa kwenda katika inchi hiyo.