Deuteronomy 1:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mlinungunika ndani ya mahema yenu mkisema, ‘Mwenyezi-Mungu anatuchukia na ndiyo maana alitutoa nchini Misri. Alitaka kututia mikononi mwa Waamori, atuangamize.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkanung’unika ndani ya mahema yenu na kusema, “Mwenyezi Mungu anatuchukia, kwa hiyo alitutoa Misri ili kututia mikononi mwa Waamori kutuangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkanung'unika hemani mwenu, mkasema, Ni kwa sababu Bwana ametuchukia, ndipo akatutoa katika nchi ya Misri, apate kututia katika mikono ya Waamori, ili kutuangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mlinung'unika ndani ya mahema yenu mkisema, ‘Mwenyezi-Mungu anatuchukia na ndiyo maana alitutoa nchini Misri. Alitaka kututia mikononi mwa Waamori, atuangamize.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkanung'unika ndani ya mahema yenu na kusema, “BWANA anatuchukia, kwa hiyo alitutoa Misri ili kututia mikononi mwa Waamori kutuangamiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkanung’unika ndani ya mahema yenu na kusema, “ bwana anatuchukia, kwa hiyo alitutoa Misri ili kututia mikononi mwa Waamori kutuangamiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mkanung'unika hemani mwenu, mkasema, Ni kwa sababu BWANA ametuchukia, ndipo akatutoa katika nchi ya Misri, apate kututia katika mikono ya Waamori, ili kutuangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mlinungunika ndani ya mahema yenu mkisema, ‘Mwenyezi-Mungu anatuchukia na ndiyo maana alitutoa nchini Misri. Alitaka kututia mikononi mwa Waamori, atuangamize.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mkanung'unika mahemani mwenu kwamba: Kwa kutuchukia Bwana alitutoa katika nchi ya Misri, atutie mikononi mwao Waamori, watuangamize.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkanung’unika hemani mwenu, mkasema, Ni kwa sababu BWANA ametuchukia, ndipo akatutoa katika nchi ya Misri, apate kututia katika mikono ya Waamori, ili kutuangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulinungunika ndani ya mahema yenu mukisema: ‘Yawe anatuchukia na ndiyo maana alitutoa katika inchi ya Misri. Alitaka kututia katika mikono ya Waamori kusudi atuangamize.