Deuteronomy 1:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini mimi niliwaambieni hivi: ‘Msiwe na hofu wala msiwaogope watu hao.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikawaambia, “Msihofu, wala msiwaogope.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikawaambieni, Msifanye hofu, wala msiwache.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini mimi niliwaambieni hivi: ‘Msiwe na hofu wala msiwaogope watu hao.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikawaambia, “Msihofu, wala msiwaogope.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikawaambia, “Msihofu, wala msiwaogope.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikawaambia msiwaogope.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini mimi niliwaambieni hivi: ‘Msiwe na hofu wala msiwaogope watu hao.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipowaambia ninyi: Msitetemeke, wala msiwaogope!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikawaambieni, Msifanye hofu, wala msiwache.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini mimi nikawaambia hivi: ‘Musikuwe na hofu wala musiwaogope watu hao.’