Deuteronomy 1:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini japo nilisema hayo yote, nyinyi hamkumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pamoja na hili, hamkumtegemea Mwenyezi Mungu, Mungu wenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini katika jambo hili hamkumwamini Bwana, Mungu wenu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini japo nilisema hayo yote, nyinyi hamkumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na hili, hamkumtegemea BWANA Mungu wenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na hili, hamkumtegemea bwana Mwenyezi Mungu wenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini katika jambo hili hamkumwamini BWANA, Mungu wenu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini japo nilisema hayo yote, nyinyi hamkumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ijapo ameyafanya hayo yote, ninyi hamkuwa mkimtegemea Bwana Mungu wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini katika jambo hili hamkumwamini BWANA, Mungu wenu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ingawa nilisema hayo yote, ninyi hamukumwamini Yawe, Mungu wenu,