Deuteronomy 1:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambaye aliwatangulia njiani na kuwatafutia mahali pa kupiga kambi zenu. Usiku aliwatangulieni kwa moto na mchana kwa wingu, ili kuwaonesha njia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye aliwatangulia katika safari yenu, kwa moto usiku na kwa wingu mchana, kuwatafutia mahali penu pa kupiga kambi na kuwaonesha njia mtakayoiendea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aliyewatangulia njiani, usiku kwa moto, kuwaonyesha njia mtakayoiendea, na mchana kwa hilo wingu, ili apate kuwatafutia mahali pa kusimamisha hema zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambaye aliwatangulia njiani na kuwatafutia mahali pa kupiga kambi zenu. Usiku aliwatangulieni kwa moto na mchana kwa wingu, ili kuwaonesha njia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye aliwatangulia katika safari yenu, kwa moto usiku na kwa wingu mchana, kuwatafutia mahali penu pa kupiga kambi na kuwaonyesha njia mtakayoiendea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye aliwatangulia katika safari yenu, kwa moto usiku na kwa wingu mchana, kuwatafutia mahali penu pa kupiga kambi na kuwaonyesha njia mtakayoiendea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
aliyewatangulia njiani, usiku kwa moto, kuwaonesha njia mtakayoiendea, na mchana kwa hilo wingu, ili apate kuwatafutia mahali pa kusimamisha hema zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambaye aliwatangulia njiani na kuwatafutia mahali pa kupiga kambi zenu. Usiku aliwatangulieni kwa moto na mchana kwa wingu, ili kuwaonesha njia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa amewatangulia njiani, awatafutie mahali pa kupigia makambi yenu; aliwatangulia usiku kwa moto, awaangazie hizo njia, mlizokwenda, tena mchana kwa wingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aliyewatangulia njiani, usiku kwa moto, kuwaonyesha njia mtakayoiendea, na mchana kwa hilo wingu, ili apate kuwatafutia mahali pa kusimamisha hema zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambaye aliwatangulia katika njia na kuwatafutia pahali pa kupiga kambi zenu. Usiku aliwatangulia kwa moto na muchana kwa wingu, kwa kuwaonyesha njia.