Deuteronomy 1:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwenyezi-Mungu aliyasikia manunguniko yenu, akakasirika, akaapa akisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa kwamba:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaisikia sauti ya maneno yenu, akaghadhibika, akaapa, akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwenyezi-Mungu aliyasikia manung'uniko yenu, akakasirika, akaapa akisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati BWANA aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa, akasema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati bwana aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa, akasema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaisikia sauti ya maneno yenu, akaghadhibika, akaapa, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwenyezi-Mungu aliyasikia manunguniko yenu, akakasirika, akaapa akisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, Bwana alipoyasikia yale maneno, mliyoyasema, akachafuka, akaapa kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaisikia sauti ya maneno yenu, akaghadhibika, akaapa, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Yawe akasikia manunguniko yenu, akakasirika, akaapa akisema: