Deuteronomy 1:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Hakuna hata mmoja wenu katika kizazi hiki kiovu atakayeingia katika nchi ile nzuri niliyoahidi kuwapa wazee wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hakuna mtu wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kuwapa baba zenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika yangu hapana mmoja miongoni mwa watu hawa wa kizazi hiki kibaya atakayeiona nchi hiyo nzuri, niliyowaapia baba zenu kuwapa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Hakuna hata mmoja wenu katika kizazi hiki kiovu atakayeingia katika nchi ile nzuri niliyoahidi kuwapa wazee wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hakuna mtu wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kuwapa baba zenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hakuna mtu wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kuwapa baba zenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika yangu hapana mmoja miongoni mwa watu hawa wa kizazi hiki kibaya atakayeiona nchi hiyo nzuri, niliyowaapia baba zenu kuwapa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Hakuna hata mmoja wenu katika kizazi hiki kiovu atakayeingia katika nchi ile nzuri niliyoahidi kuwapa wazee wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu hawa wote wa hiki kizazi kibaya hawataiona kabisa hiyo nchi njema, niliyowaapia baba zao kuwapa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika yangu hapana mmoja miongoni mwa watu hawa wa kizazi hiki kibaya atakayeiona nchi hiyo nzuri, niliyowaapia baba zenu kuwapa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Hakuna hata mumoja wenu katika kizazi hiki kiovu atakayeingia katika ile inchi nzuri niliyoahidi kuwapa wazee wenu.