Deuteronomy 1:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alinikasirikia mimi pia kwa sababu yenu, akasema, ‘Hata wewe Mose hutaingia katika nchi hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu yenu Mwenyezi Mungu pia alinikasirikia mimi, akasema, “Hutaingia hiyo nchi pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Bwana alinikasirikia mimi kwa ajili yenu, akasema, Wala wewe hutaingia humo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alinikasirikia mimi pia kwa sababu yenu, akasema, ‘Hata wewe Mose hutaingia katika nchi hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu yenu BWANA pia alinikasirikia mimi, akasema, “Hutaingia hiyo nchi pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu yenu bwana pia alinikasirikia mimi, akasema, “Hutaingia hiyo nchi pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na BWANA alinikasirikia mimi kwa ajili yenu, akasema, Wala wewe hutaingia humo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alinikasirikia mimi pia kwa sababu yenu, akasema, ‘Hata wewe Mose hutaingia katika nchi hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nami Bwana akanikasirikia kwa ajili yenu, akaniambia: Wewe nawe hutaiingia hiyo nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na BWANA alinikasirikia mimi kwa ajili yenu, akasema, Wala wewe hutaingia humo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akanikasirikia mimi vilevile kwa sababu yenu, akasema: ‘Hata wewe Musa hautaingia katika inchi hiyo.