Deuteronomy 1:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini msaidizi wako Yoshua mwana wa Nuni, ataingia humo. Basi, mtie moyo kwani yeye atawaongoza watu wa Israeli waimiliki nchi hiyo’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini msaidizi wako, Yoshua mwana wa Nuni, ataingia. Mtie moyo, kwa sababu atawaongoza Waisraeli kuirithi hiyo nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yoshua mwana wa Nuni asimamaye mbele yako ndiye atakayeingia; mtie moyo; kwa kuwa yeye atawarithisha Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini msaidizi wako Yoshua mwana wa Nuni, ataingia humo. Basi, mtie moyo kwani yeye atawaongoza watu wa Israeli waimiliki nchi hiyo’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini msaidizi wako, Yoshua mwana wa Nuni, ataiingia. Mtie moyo, kwa sababu atawaongoza Waisraeli kuirithi hiyo nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini msaidizi wako, Yoshua mwana wa Nuni, ataingia. Mtie moyo, kwa sababu atawaongoza Waisraeli kuirithi hiyo nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yoshua mwana wa Nuni asimamaye mbele yako ndiye atakayeingia; mtie moyo; kwa kuwa yeye atawarithisha Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini msaidizi wako Yoshua mwana wa Nuni, ataingia humo. Basi, mtie moyo kwani yeye atawaongoza watu wa Israeli waimiliki nchi hiyo’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yosua, mwana wa Nuni, anayekutumikia, yeye ataingia huko; mshikize moyo, kwani ndiye atakayewagawia Waisiraeli mafungu ya nchi yatakayokuwa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yoshua mwana wa Nuni asimamaye mbele yako ndiye atakayeingia; mtie moyo; kwa kuwa yeye atawarithisha Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini musaidizi wako Yoshua mwana wa Nuni ataingia humo. Basi, umutie moyo maana yeye atawaongoza watu wa Israeli wairizi inchi hiyo’.