Deuteronomy 1:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi, geukeni na kurudi jangwani kuelekea Bahari ya Shamu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali ninyi geukeni, mwondoke kuelekea jangwani kwa kufuata njia ya Bahari ya Shamu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ninyi basi geukeni, mshike safari yenu, mwende jangwani kwa njia ya Bahari ya Shamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi, geukeni na kurudi jangwani kuelekea Bahari ya Shamu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali ninyi geukeni, mwondoke kuelekea jangwani kwa kufuata njia ya Bahari ya Shamu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali ninyi geukeni, mwondoke kuelekea jangwani kwa kufuata njia ya Bahari ya Shamu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ninyi basi geukeni, mshike safari yenu, mwende jangwani kwa njia ya Bahari ya Shamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi, geukeni na kurudi jangwani kuelekea Bahari ya Shamu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi geukeni na kuondoka hapa, mrudi nyikani na kushika njia ya kwenda kwenye Bahari Nyekundu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ninyi basi geukeni, mshike safari yenu, mwende jangwani kwa njia ya Bahari ya Shamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi, mugeuke na kurudi katika jangwa kuelekea bahari Nyekundu.’