Deuteronomy 1:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mimi niliwaambieni hivyo, lakini nyinyi hamkusikia. Badala yake mlikataa kufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, bila kujali mkaingia katika nchi hiyo ya milima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo niliwaambia, lakini hamkutaka kusikia. Mliasi dhidi ya amri ya Mwenyezi Mungu, na katika kiburi chenu mlienda katika nchi ya vilima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi niliwaambia, msinisikize, bali mliasi amri ya Bwana, mkajikinai, na kukwea mlimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mimi niliwaambieni hivyo, lakini nyinyi hamkusikia. Badala yake mlikataa kufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, bila kujali mkaingia katika nchi hiyo ya milima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo niliwaambia, lakini hamkutaka kusikia. Mliasi dhidi ya amri ya BWANA, na katika kiburi chenu mlienda katika nchi ya vilima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo niliwaambia, lakini hamkutaka kusikia. Mliasi dhidi ya amri ya bwana, na katika kiburi chenu mlienda katika nchi ya vilima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ingawa niliwaambia, hamkunisikiliza, bali mliasi amri ya Bwana, mkajiamini na kulewa mlimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mimi niliwaambieni hivyo, lakini nyinyi hamkusikia. Badala yake mlikataa kufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, bila kujali mkaingia katika nchi hiyo ya milima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipowaambia hayo, hamkusikia, mkalikataa neno, kinywa cha Bwana kililolisema; mkapanda milimani kwa kujivuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi niliwaambia, msinisikize, bali mliasi amri ya BWANA, mkajikinai, na kukwea mlimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mimi nikawaambia hivyo, lakini ninyi hamukusikia. Pahali pake mukakataa kufuata agizo la Yawe. Bila kujali mukaingia katika inchi hiyo ya milima.