Deuteronomy 1:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo mliporudi, mkamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini Mwenyezi-Mungu hakuwasikiliza wala hakuwajali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlirudi na kulia mbele za Mwenyezi Mungu, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkarudi mkalia mbele za Bwana; Bwana asiisikize sauti yenu, wala hakuelekeza masikio yake kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo mliporudi, mkamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini Mwenyezi-Mungu hakuwasikiliza wala hakuwajali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlirudi na kulia mbele za BWANA, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlirudi na kulia mbele za bwana, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkarudi mkalia mbele za BWANA; BWANA asiisikize sauti yenu, wala hakuelekeza masikio yake kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo mliporudi, mkamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini Mwenyezi-Mungu hakuwasikiliza wala hakuwajali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkarudi na kumlilia Bwana, lakini Bwana hakuzisikia sauti zenu, wala hakuwategea ninyi sikio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkarudi mkalia mbele za BWANA; BWANA asiisikize sauti yenu, wala hakuelekeza masikio yake kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndipo muliporudi, mukamulilia Yawe, lakini hakuwasikiliza wala hakuwajali.