Deuteronomy 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alichukua jukumu la kuwaelezea watu sheria ya Mungu wakati walipokuwa ngambo ya pili ya mto Yordani. Aliwaambia hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko mashariki mwa Yordani katika nchi ya Moabu, Musa alianza kuielezea sheria hii, akisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ni ng'ambo ya Yordani katika nchi ya Moabu, alipoanza Musa kufunua torati hii, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alichukua jukumu la kuwaelezea watu sheria ya Mungu wakati walipokuwa ng'ambo ya pili ya mto Yordani. Aliwaambia hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko mashariki ya Yordani katika nchi ya Moabu, Mose alianza kuielezea sheria hii, akisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko mashariki ya Yordani katika nchi ya Moabu, Musa alianza kuielezea sheria hii, akisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ni ng'ambo ya Yordani katika nchi ya Moabu, alipoanza Musa kufunua torati hii, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alichukua jukumu la kuwaelezea watu sheria ya Mungu wakati walipokuwa ngambo ya pili ya mto Yordani. Aliwaambia hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa ng'ambo ya huku ya Yordani katika nchi ya Moabu; ndiko, Mose alikoanza kuwaelezea mafunzo haya ya Maonyo, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ni ng’ambo ya Yordani katika nchi ya Moabu, alipoanza Musa kufunua torati hii, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akaanza kuwaelezea watu sheria ya Mungu wakati walipokuwa upande wa mashariki wa muto Yordani. Akawaambia hivi: