Deuteronomy 1:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tulipokuwa mlimani Sinai, Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu alituambia hivi: ‘Mmekaa muda wa kutosha kwenye mlima huu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa muda wa kutosha katika mlima huu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mlivyokaa katika mlima huu vyatosha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tulipokuwa mlimani Sinai, Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu alituambia hivi: ‘Mmekaa muda wa kutosha kwenye mlima huu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mungu wetu alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa vya kutosha katika mlima huu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenyezi Mungu wetu alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa vya kutosha katika mlima huu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mmekaa katika mlima huu vya kutosha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tulipokuwa mlimani Sinai, Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu alituambia hivi: ‘Mmekaa muda wa kutosha kwenye mlima huu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wetu alituambia kule Horebu kwamba: Siku za kukaa kwenu kwenye mlima huu zimetimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mlivyokaa katika mlima huu vyatosha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Tulipokuwa kwenye mulima Sinai, Yawe, Mungu wetu, alituambia hivi: ‘Mumekaa muda wa kutosha kwenye mulima huu.