Deuteronomy 1:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawaambia watu, “Tulipokuwa bado mlimani Sinai, mimi niliwaambieni hivi: ‘Jukumu la kuwaongozeni ni kubwa mno kwangu mimi peke yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule niliwaambia, “Ninyi mmekuwa mzigo mzito sana kwangu kuwachukua peke yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami wakati ule niliwaambia, nikasema, Siwezi mimi mwenyewe kuwachukua peke yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawaambia watu, “Tulipokuwa bado mlimani Sinai, mimi niliwaambieni hivi: ‘Jukumu la kuwaongozeni ni kubwa mno kwangu mimi peke yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule niliwaambia, “Ninyi mmekuwa mzigo mzito sana kwangu kuwachukua peke yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule niliwaambia, “Ninyi mmekuwa mzigo mzito sana kwangu kuwachukua peke yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami wakati ule niliwaambia, nikasema, Mimi siwezi kuwachukua peke yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawaambia watu, “Tulipokuwa bado mlimani Sinai, mimi niliwaambieni hivi: ‘Jukumu la kuwaongozeni ni kubwa mno kwangu mimi peke yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, nilipowaambia ninyi: Mimi peke yangu siwezi kuwatunza ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami wakati ule niliwaambia, nikasema, Siwezi mimi mwenyewe kuwachukua peke yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia watu: “Tulipokuwa tungali kwenye mulima Sinai, mimi niliwaambia hivi: ‘Siwezi mimi mwenyewe kubeba muzigo wa kuwaongoza ninyi peke yangu.