Deuteronomy 10:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao, halafu uje kwangu huku juu mlimani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule Mwenyezi Mungu aliniambia, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza uje kwangu juu mlimani. Pia utengeneze Sanduku la mbao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule Bwana akaniambia, Chonga mbao mbili za mawe mfano wa zile za kwanza, kisha uje kwangu huku mlimani, ukajifanyie na sanduku la mti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao, halafu uje kwangu huku juu mlimani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule BWANA aliniambia, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza uje kwangu juu mlimani. Pia utengeneze Sanduku la mbao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule bwana aliniambia, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza uje kwangu juu mlimani. Pia utengeneze Sanduku la mbao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ule BWANA akaniambia, Chonga mbao mbili za mawe mfano wa zile za kwanza, kisha uje kwangu huku mlimani, ukajifanyie na sanduku la mti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao, halafu uje kwangu huku juu mlimani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakati huo Bwana akaniambia: Jichongee mbao mbili za mawe kama zile za kwanza! Kisha panda kwangu huku mlimani! Jitengenezee nalo sanduku la mti!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule BWANA akaniambia, Chonga mbao mbili za mawe mfano wa zile za kwanza, kisha uje kwangu huku mlimani, ukajifanyie na sanduku la mti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kisha Yawe akaniambia: ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao. Kuja kwangu huku juu kwenye mulima,