Deuteronomy 10:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuzitii amri na masharti ya Mwenyezi-Mungu ninayowawekea leo, kwa manufaa yenu wenyewe?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kuyashika maagizo ya Mwenyezi Mungu na amri zake ninazokupa leo kwa mafanikio yako mwenyewe?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kuzishika amri za Bwana na sheria zake, ninazokuamuru leo, upate uheri?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuzitii amri na masharti ya Mwenyezi-Mungu ninayowawekea leo, kwa manufaa yenu wenyewe?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kuyashika maagizo ya BWANA na amri zake ninazokupa leo kwa mafanikio yako mwenyewe?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kuyashika maagizo ya bwana na amri zake ninazokupa leo kwa mafanikio yako mwenyewe?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kuzifuata amri za BWANA na sheria zake, ninazokuamuru leo, upate uheri?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuzitii amri na masharti ya Mwenyezi-Mungu ninayowawekea leo, kwa manufaa yenu wenyewe?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na kuyashika maagizo ya Bwana na maongozi yake, mimi ninayokuagiza leo, upate kuona mema?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kuzishika amri za BWANA na sheria zake, ninazokuamuru leo, upate uheri?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na mutii amri na masharti ya Yawe ninayowawekea leo, kwa mafaa yenu wenyewe.