Deuteronomy 10:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena Mwenyezi-Mungu aliwapenda babu zenu kwa dhati, akawachagua nyinyi wazawa wao kuwa watu wake badala ya watu wengine wote, kama ilivyo hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo Mwenyezi Mungu alikuwa na shauku na baba zako, akawapenda na akawachagua ninyi, wazao wao, kuliko mataifa yote, kama ilivyo leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, Bwana aliwafurahia baba zako, na kuwapenda, akawachagua wazao wao baada yao, naam, na ninyi zaidi ya mataifa yote kama hivi leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena Mwenyezi-Mungu aliwapenda babu zenu kwa dhati, akawachagua nyinyi wazawa wao kuwa watu wake badala ya watu wengine wote, kama ilivyo hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo BWANA alikuwa na shauku na baba zako, akawapenda na akawachagua ninyi, wazao wao, kuliko mataifa yote, kama ilivyo leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo bwana alikuwa na shauku na baba zako, akawapenda na akawachagua ninyi, wazao wao, kuliko mataifa yote, kama ilivyo leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, BWANA aliwafurahia baba zako, na kuwapenda, akawachagua wazao wao baada yao, naam, na ninyi zaidi ya mataifa yote kama hivi leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena Mwenyezi-Mungu aliwapenda babu zenu kwa dhati, akawachagua nyinyi wazawa wao kuwa watu wake badala ya watu wengine wote, kama ilivyo hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini Bwana alishikamana na baba zenu tu kwa kuwapenda, akawachagua ninyi mlio wazao wao waliokuwako nyuma yao akiwatoa katika makabila yote, kama inavyoelekea leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, BWANA aliwafurahia baba zako, na kuwapenda, akawachagua wazao wao baada yao, naam, na ninyi zaidi ya mataifa yote kama hivi leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena Yawe alifurahia babu zenu kwa kuwapenda na akawachagua ninyi wazao wao pahali pa watu wengine wote, kama hivi leo.