Deuteronomy 10:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nami nitaandika maneno yaliyokuwa yameandikwa katika vibao vile ulivyovunja, kisha viweke vibao hivyo katika sanduku’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaandika juu ya vibao maneno yaliyokuwa katika vile vibao vya kwanza, ambavyo ulivivunja. Kisha utaviweka ndani ya Sanduku.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaandika juu ya hizo mbao maneno hayo yaliyokuwa juu ya mbao za kwanza, ulizozivunja, nawe uzitie ndani ya hilo sanduku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nami nitaandika maneno yaliyokuwa yameandikwa katika vibao vile ulivyovunja, kisha viweke vibao hivyo katika sanduku’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaandika juu ya vibao maneno yaliyokuwa katika vile vibao vya kwanza, ambavyo ulivivunja. Kisha utaviweka ndani ya Sanduku.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaandika juu ya vibao maneno yaliyokuwa katika vile vibao vya kwanza, ambavyo ulivivunja. Kisha utaviweka ndani ya Sanduku.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaandika juu ya hizo mbao maneno hayo yaliyokuwa juu ya mbao za kwanza, ulizozivunja, nawe uzitie ndani ya hilo sanduku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nami nitaandika maneno yaliyokuwa yameandikwa katika vibao vile ulivyovunja, kisha viweke vibao hivyo katika sanduku’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitaziandika hizo mbao yale maneno yaliyokuwa yameandikwa katika zile mbao za kwanza, ulizozivunja, kisha uziweke sandukuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaandika juu ya hizo mbao maneno hayo yaliyokuwa juu ya mbao za kwanza, ulizozivunja, nawe uzitie ndani ya hilo sanduku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nami nitaandika maneno yaliyokuwa yameandikwa katika vibao vile ulivyovunja, kisha uweke vibao hivyo katika sanduku’.