Deuteronomy 10:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mcheni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; mtumikieni; ambataneni naye na kuapa kwa jina lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mche Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mche Bwana, Mungu wako, umtumikie yeye; ambatana naye, na kuapa kwa jina lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mcheni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; mtumikieni; ambataneni naye na kuapa kwa jina lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mche BWANA Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mche bwana Mwenyezi Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mche BWANA, Mungu wako, umtumikie yeye; ambatana naye, na kuapa kwa jina lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mcheni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; mtumikieni; ambataneni naye na kuapa kwa jina lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwogope Bwana Mungu wako, umtumikie, ugandamane naye. Napo utakapoapa litaje Jina lake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mche BWANA, Mungu wako, umtumikie yeye; ambatana naye, na kuapa kwa jina lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwogope Yawe, Mungu wenu, mumutumikie, muambatane naye na kuapa kwa jina lake.