Deuteronomy 10:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Babu zenu walipokwenda Misri, walikuwa watu sabini tu, lakini sasa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa Mwenyezi Mungu, Mungu wako, amekufanya taifa la watu wengi kama nyota za angani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba zako walishukia Misri na watu sabini; na sasa Bwana, Mungu wako, amekufanya kama nyota za mbinguni kwa wingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Babu zenu walipokwenda Misri, walikuwa watu sabini tu, lakini sasa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa BWANA Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa bwana Mwenyezi Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba zako walienda Misri wakiwa watu sabini; na sasa BWANA, Mungu wako, amekufanya kama nyota za mbinguni kwa wingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Babu zenu walipokwenda Misri, walikuwa watu sabini tu, lakini sasa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba zako waliposhukia Misri walikuwa watu 70, na sasa Bwana Mungu wako amekufanya kuwa wengi kama nyota za mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba zako walishukia Misri na watu sabini; na sasa BWANA, Mungu wako, amekufanya kama nyota za mbinguni kwa wingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Babu zenu walipokwenda Misri, walikuwa watu makumi saba tu, lakini sasa Yawe, Mungu wenu, amewafanya kuwa wengi kama nyota mbinguni.