Deuteronomy 10:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Watu wa Israeli walisafiri kutoka visima vya watu wa Yaakani hadi Mosera. Hapo, Aroni alifariki, akazikwa. Eleazari mwanawe, akachukua nafasi yake kama kuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Waisraeli walisafiri kutoka visima vya Bene-Yaakani hadi Mosera. Huko Haruni alifariki na kuzikwa, naye Eleazari mwanawe akachukua nafasi yake kama kuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(Wana wa Israeli wakasafiri kutoka visima vya Bene-Yaakani kwenda Mosera; Haruni akafa huko, akazikwa huko; na Eleazari mwanawe alitumika utumishi wa ukuhani badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Watu wa Israeli walisafiri kutoka visima vya watu wa Yaakani hadi Mosera. Hapo, Aroni alifariki, akazikwa. Eleazari mwanawe, akachukua nafasi yake kama kuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Waisraeli walisafiri kutoka visima vya Yaakani hadi Mosera. Huko Aroni alifariki na kuzikwa, naye Eliezeri mwanawe akachukua nafasi yake kama kuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Waisraeli walisafiri kutoka visima vya Yaakani hadi Mosera. Huko Haruni alifariki na kuzikwa, naye Eleazari mwanawe akachukua nafasi yake kama kuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(Wana wa Israeli wakasafiri kutoka visima vya Bene-yaakani kwenda Mosera; Haruni akafa huko, akazikwa huko; na Eleazari mwanawe akahudumu kama kuhani badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Watu wa Israeli walisafiri kutoka visima vya watu wa Yaakani hadi Mosera. Hapo, Aroni alifariki, akazikwa. Eleazari mwanawe, akachukua nafasi yake kama kuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakaondoka visimani kwa wana wa Yakani, wakaenda Mosera; ndiko, Haroni alikokufa, akazikwa huko, naye mwanawe Elazari akawa mtambikaji mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(Wana wa Israeli wakasafiri kutoka visima vya Bene-Yaakani kwenda Mosera; Haruni akafa huko, akazikwa huko; na Eleazari mwanawe alitumika utumishi wa ukuhani badala yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Watu wa Israeli wakasafiri kutoka visima vya watu wa Yakani mpaka Musara. Haruni akakufa na kuzikwa kule. Eleazari mwana wake, akatwaa nafasi yake kama vile kuhani.