Deuteronomy 10:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka pale, walisafiri hadi Gudgoda wakaendelea hadi Yotbatha, nchi yenye vijito vya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka huko kwenda Gudgoda; wakatoka Gudgoda wakaenda Yotbatha, nayo ni nchi ya vijito vya maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka pale, walisafiri hadi Gudgoda wakaendelea mpaka Yotbatha, nchi yenye vijito vya maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka pale, walisafiri hadi Gudgoda wakaendelea mpaka Yotbatha, nchi yenye vijito vya maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka huko kwenda Gudgoda; wakatoka Gudgoda wakaenda Yotbatha, nayo ni nchi ya vijito vya maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka huko wakaenda Gudigoda, tena toka Gudigoda, wakaenda Yotibata, ndiyo nchi yenye vijito vya maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka huko kwenda Gudgoda; wakatoka Gudgoda wakaenda Yotbatha, nayo ni nchi ya vijito vya maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka pale, wakasafiri mpaka Gudigoda, na kutoka Gudigoda mpaka Yotibata, eneo lenye vijito vingi vya maji.