Deuteronomy 10:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu aliwateua watu wa kabila la Lawi wawe wakilibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, wamtumikie kama makuhani na kubariki watu kwa jina lake hata hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Mwenyezi Mungu aliteua kabila la Lawi kulibeba Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu, kusimama mbele za Mwenyezi Mungu ili kutoa huduma, na kutangaza baraka kwa Jina lake, kama wanavyofanya hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakati huo Bwana aliitenga kabila ya Lawi ili walichukue lile sanduku la agano la Bwana, wasimame mbele ya Bwana kwa kumtumikia, na kuwabarikia watu kwa jina lake, hata hivi leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu aliwateua watu wa kabila la Lawi wawe wakilibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, wamtumikie kama makuhani na kubariki watu kwa jina lake hata hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo BWANA aliteua kabila la Lawi kulibeba Sanduku la Agano la BWANA, kusimama mbele za BWANA ili kutoa huduma, na kutangaza baraka kwa Jina lake, kama wanavyofanya mpaka leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo bwana aliteua kabila la Lawi kulibeba Sanduku la Agano la bwana, kusimama mbele za bwana ili kutoa huduma, na kutangaza baraka kwa Jina lake, kama wanavyofanya mpaka leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakati huo BWANA alilitenga kabila la Lawi ili walichukue lile sanduku la Agano la BWANA, wasimame mbele za BWANA kwa kumtumikia, na kuwabarikia watu kwa jina lake, hata hivi leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, Mwenyezi-Mungu aliwateua watu wa kabila la Lawi wawe wakilibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, wamtumikie kama makuhani na kubariki watu kwa jina lake hata hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile Bwana akalitenga shina la Lawi, walichukue Sanduku la Agano la Bwana, tena wasimame mbele ya Bwana kumtumikia na kubariki watu kwa Jina lake, kama wanavyofanya hata leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakati huo BWANA aliitenga kabila ya Lawi ili walichukue lile sanduku la agano la BWANA, wasimame mbele ya BWANA kwa kumtumikia, na kuwabarikia watu kwa jina lake, hata hivi leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo, Yawe akachagua watu wa kabila la Lawi wakuwe wanabeba Sanduku la Agano la Yawe, wamutumikie kama vile makuhani na kubariki watu kwa jina lake hata hivi leo.