Deuteronomy 11:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa ajili hiyo, mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika siku zote kanuni zake, masharti yake, maagizo yake na amri zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na kushika masharti yake, amri zake, sheria zake na maagizo yake siku zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili hii mpende Bwana, Mungu wako, na kushika sikuzote mausia yake, na amri zake, na hukumu zake, na maagizo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa ajili hiyo, mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika siku zote kanuni zake, masharti yake, maagizo yake na amri zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpende BWANA Mungu wako na kushika masharti yake, amri zake, sheria zake na maagizo yake siku zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpende bwana Mwenyezi Mungu wako na kushika masharti yake, amri zake, sheria zake na maagizo yake siku zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili hii mpende BWANA, Mungu wako, na kushika siku zote mausia yake, na amri zake, na hukumu zake, na maagizo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa ajili hiyo, mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika siku zote kanuni zake, masharti yake, maagizo yake na amri zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo umpende Bwana Mungu wako na kuyaangalia mambo yake yanayopasa, uyaangalie siku zote, maongozi yake na maamuzi yake na maagizo yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili hii mpende BWANA, Mungu wako, na kushika sikuzote mausia yake, na amri zake, na hukumu zake, na maagizo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mumupende Yawe, Mungu wenu, na kushika siku zote masharti yake, maagizo yake na amri zake.