Deuteronomy 11:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nchi mnayokwenda kuimiliki, ni nchi ya milima na mabonde, nchi ambayo hupata maji ya mvua kutoka mbinguni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nchi mnayovuka Yordani kuimiliki ni nchi ya milima na mabonde inayokunywa maji ya mvua ya mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini nchi mwivukiayo kuimiliki ni nchi ya vilima na mabonde, nayo hunyweshwa maji ya mvua ya mbinguni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nchi mnayokwenda kuimiliki, ni nchi ya milima na mabonde, nchi ambayo hupata maji ya mvua kutoka mbinguni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nchi mnayovuka Yordani kuimiliki ni nchi ya milima na mabonde inywayo mvua kutoka mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nchi mnayovuka Yordani kuimiliki ni nchi ya milima na mabonde inywayo mvua kutoka mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini nchi muivukayo kuimiliki ni nchi ya vilima na mabonde, nayo hunyunyizwa maji ya mvua ya mbinguni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nchi mnayokwenda kuimiliki, ni nchi ya milima na mabonde, nchi ambayo hupata maji ya mvua kutoka mbinguni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hiyo nchi, mtakayovukia kuichukua, iwe yenu, ni nchi yenye milima na mabonde, nayo hunyweshwa maji ya mvua za mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini nchi mwivukiayo kuimiliki ni nchi ya vilima na mabonde, nayo hunyweshwa maji ya mvua ya mbinguni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini inchi munayokwenda kurizi ni inchi ya milima na mabonde, inchi ambayo inapata maji ya mvua kutoka mbinguni,