Deuteronomy 11:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, huitunza; Mwenyezi-Mungu huiangalia daima tangu mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anaitunza; macho ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, yanaitazama daima kutoka mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nayo ni nchi itunzwayo na Bwana, Mungu wako; macho ya Bwana Mungu wako, ya juu yake, tangu mwanzo wa mwaka hata mwisho wa mwaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, huitunza; Mwenyezi-Mungu huiangalia daima tangu mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nchi ambayo BWANA Mungu wenu anaitunza; macho ya BWANA Mungu wenu yanaitazama daima kutoka mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anaitunza; macho ya bwana Mwenyezi Mungu wenu yanaitazama daima kutoka mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nayo ni nchi itunzwayo na BWANA, Mungu wako; macho ya BWANA Mungu wako, yako juu yake, tangu mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, huitunza; Mwenyezi-Mungu huiangalia daima tangu mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo ni nchi, Bwana Mungu wako anayoipatia yaipasayo, nayo macho yake Bwana Mungu wako hayakomi kuitazama tangu mwanzo wa mwaka hata mwisho wa mwaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nayo ni nchi itunzwayo na BWANA, Mungu wako; macho ya BWANA Mungu wako, ya juu yake, tangu mwanzo wa mwaka hata mwisho wa mwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, anatunza. Siku zote anaiangalia tangu mwanzo wa mwaka hata mwisho wa mwaka.