Deuteronomy 11:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataotesha majani mashambani kwa ajili ya ng'ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawapa majani katika malisho yako kwa ajili ya ng’ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakupa nyasi katika mavue yako kulisha wanyama wako wa mifugo, nawe utakula na kushiba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataotesha majani mashambani kwa ajili ya ng'ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawapa majani kwa ajili ya ng'ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawapa majani kwa ajili ya ng’ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakupa nyasi katika mashamba yako kulisha wanyama wako wa mifugo, nawe utakula na kushiba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataotesha majani mashambani kwa ajili ya ng'ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao nyama wako wa kufuga nitawapa majani maporini, upate kula na kushiba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakupa nyasi katika mavue yako kulisha wanyama wako wa mifugo, nawe utakula na kushiba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataotesha majani katika mashamba kwa ajili ya ngombe wenu, nanyi mutakula na kushiba.