Deuteronomy 11:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi yenu, akazifunga mbingu hata pasiwepo mvua na nchi ikaacha kutoa mazao yake, halafu mkaangamia upesi kutoka katika nchi nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu anawapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo hasira ya Mwenyezi Mungu itawaka dhidi yenu, naye atafunga mbingu ili mvua isinyeshe nayo ardhi haitatoa mazao, nanyi mtaangamia upesi katika nchi nzuri ambayo Mwenyezi Mungu anawapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hasira za Bwana zikawaka juu yenu, naye akafunga mbingu kusiwe na mvua, wala nchi isitoe matunda yake; mkaangamia kwa upesi mtoke katika nchi nzuri awapayo Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi yenu, akazifunga mbingu hata pasiwepo mvua na nchi ikaacha kutoa mazao yake, halafu mkaangamia upesi kutoka katika nchi nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu anawapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo hasira ya BWANA itawaka dhidi yenu, naye atafunga mbingu ili mvua isinyeshe nayo ardhi haitatoa mazao, nanyi mtaangamia mara katika nchi nzuri ambayo BWANA anawapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo hasira ya bwana itawaka dhidi yenu, naye atafunga mbingu ili mvua isinyeshe nayo ardhi haitatoa mazao, nanyi mtaangamia mara katika nchi nzuri ambayo bwana anawapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hasira za BWANA zikawaka juu yenu, naye akafunga mbingu kusiwe na mvua, wala nchi isitoe matunda yake; mkaangamia kwa upesi mtoke katika nchi nzuri awapayo BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi yenu, akazifunga mbingu hata pasiwepo mvua na nchi ikaacha kutoa mazao yake, halafu mkaangamia upesi kutoka katika nchi nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu anawapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakapofanya hivyo, makali ya Bwana yatawawakia ninyi, azifunge mbingu, mvua isinye, nchi isitoe mazao yake; ndipo, mtakapoangamia upesi, mtoweke katika hiyo nchi njema, Bwana atakayowapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hasira za BWANA zikawaka juu yenu, naye akafunga mbingu kusiwe na mvua, wala nchi isitoe matunda yake; mkaangamia kwa upesi mtoke katika nchi nzuri awapayo BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nayo hasira ya Yawe iwake juu yenu, naye afunge mbingu hata kusikuwe mvua, na inchi iache kutoa mazao yake, halafu muangamie upesi kutoka katika inchi nzuri ambayo Yawe anawapa.